Wednesday, August 3, 2016

WAJUE WASANII WATANO WA MUZIKI WA BONGO FLAVA WENYE UKWASI MKUBWA TANZANIA 2016

Yes!!! Bongo flavor artis wamefikia kiwango kizuri sasa cha kumake mkwanja mkubwa!!! Hii nikutokana na juhudi na uwekezaji mkubwa waliouweka kwenye muziki wao ambao sasa nibiashara nzuri:::: Wafuatao ni wasanii wenye mkwanja mkubwa zaid kwenye tasnia ya bongo flavour!!! 1. Dimond platnumz (chibu dangote): Huyu ni bongo flava artist, baba tifa!!! Aka SIMBA, mmiliki wa record label yaa WCB yenye wasanii Wakubwa kwa mwaka huu wa 2016 kama vile RICH MAVOKO na RAYMOND mwenye mafanikio makubwa sana toka bongo flava kuanza nchini tanzania: Anakisiwa kuwa na utajiri unaozaidi kiasi cha shilingi bilion 7 za kitanzania ambapo kwenye bank account yake tu, kimo kitita cha zaidi ya shilingi bilioni 3 za kitanzania !!!! Mkwanja wake umepatikana kutokana na show mbalimbali alizo fanya AFRICA, UROPE na AMERICA kwa ujumla toka mwaka 2014 -2016 ambapo kumpata mshkaji kwenye show moja inabidi uwe na si chini ya kiasi cha shilingi milioni 100 za kitanzania kama malipo yake: mkwanja mwingine ni mauzo ya tirshet, miito ya simu na colabos mbali mbali!!! Anamiliki nyumba zaidi ya tano @ each 75 milion za kitanzania!!! Huku yeye mwenyewe akiishi kwenye nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 300 za kitanzania ijulikanayo kama (the white house)jijini DAR ES SALAAM. Pia anamiliki nyumba nchini SOUTH AFRICA yenye thamani ya shilingi milioni 700 za kitanzania!!! Amewekeza kwenye studio ya kisasa kabisa ijulikanayo kama WASAFI RECODS na pia viwanja na mshamba yenye thamani ya shilingi milioni 200 2. LAIDY JAY DEE (KOMANDOO) Bongo flavor queen,and owner of machozi band!!! Anashika nafasi ya pili kwenye list, baada ya Yeye kuwa na ukwasi wa kiasi cha chilingi milioni 520 kwa bank account!!!!! mkwanja huu na utajiri wake wote unatokana na show za ndani na nje ya nchi ambapo kwa shoo moja jay dee hulipwa kiasi cha shilingi milioni 45 za kitanzania!!! The single hit maker wa NDI NDI NDI Anamiliki nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 400 za kitanzania!!! Uwekezaji binafsi wa kiasi cha shilingi milioni 800 za kitanzania!!!! 3. Joseph mbilinyi (aka; sugu) Huyu ni Hip-hop artist na member of parliament!!! Ana ukwasi wa shilingi milioni 500 kwa bank account!!!!! Miradi ya zaidi ya shilinngi bilion 1 Ya kitanzania ikiwemo hoteli ya nyota 5 anayojenga jijini mbeya!!!jamaa anapata mkwanja wake kupitia income yake ya ubunge na show mbali mbali za ndani ya nchi!!! 4.Ambwene Yesaya (Ay) Bongo flavor artist mwenye mafanikio makubwa katika muziki wa tanzania!!! Anao ukwasi wa kiasi cha shilingi milion 470 kwa bank account! Anamiliki nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 500!! Yupo kwenye miradi na uwekezaji binafsi unaokadiliwa kua nakiasi cha shilingi milioni 900 za kitanzania Anamiliki shamba la ekari 115, lakini pia viwanja na miradi yenye thamani ya shilingi milioni 600!!! 5.Ommy dimpoz (poz kwa poz) Bongo flavor artist mwenye kiasi cha shili gi milioni 400 kwa bank accout!!! Kutokana na show na business mbalimbali za ndani na nje ya nchi!!! Anamiliki nyumba yenye kiasi cha shilingi milioni 500!!!! Anamiradi na viwanja vyenye thamani ya shilingi milioni 700 za kitanzania!!!!

PROFESSOR JAY - KAZI KAZI VIDEO

Saturday, July 2, 2016

BODI YA MIKOPO YAKANUSHA UKATA WA FEDHA

HESLB YAKANUSHA KUWA HAINA FEDHA

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kukanusha taarifa za upotoshaji zinazoenezwa kwa sasa kwamba haina fedha.

Si kweli kwamba Bodi haina fedha, ila ni kweli kwamba kumekuwa na ucheleweshaji wa kufikisha fedha za wanafunzi vyuoni kutokana na zoezi la kuhakiki wanafunzi wanaonufaika na mikopo linaloendelea vyuoni hivo

Hata hivyo, maandalizi ya malipo hayo yameshafanyika na ‘pay sheets’ zimeshapelekwa vyuoni tayari kwa wanafunzi wanaonufaika na mikopo kusaini.

Bodi inatarajia wakati wowote wiki ijayo baada ya zoezi la uhakiki kukamilika; itapeleka fedha hizo vyuoni

IMETOLEWA NA:KITENGO CHA HABARI, ELIMU NA MAWASILIANO BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TAREHE 2 JULAI 2016

Friday, July 1, 2016

CELEB WATANO WAKIKE WENYE UZURI WAKIPEKEE BONGO

Orodha  hii ya wasanii watano maarufu wa kike wenye uzuri wa kipekeee zaid bongo nikama hii ifuatayo:-

5.  JACQLINE NTUYABALIWE
        Alikua miss tanzania wa zamani na kwa sasa ni Mke wa mfanya biashara maarufu hapa nchini tanzania na mama wa watoto wawili mapacha.  Lakini pia ni mfanya biashara na mwana muziki wa nyimbo za bongo flaivor aliye wai kutamba na nyimbo inayo julikana kwa jina la "Nalia kwa furaha" aliyo mshirikisha msanii mwenzake  bushoke. Anavutia since ni mama but ukikutana naye unaweza jua si mama wa watotowa wili.
     

     

4.  VANESSA MDEE
         huyu ni msanii wa bongo flavor ambaye ametamba nanyimbo kama "HAWAJUI"  ,  "ME AND YOU" na nyinginezo nyingi!  Ni mwenyeji wa mkoa wa Arusha.  Anashikilia na fasi ya nne kutokana uzuri wa ngozi yake ambayo ni natural pamoja na  Umbo lake  dogo dogo ambalo ni so ameizing sanaa since kila mtupio anao utupia unaonekana ku mkaa vyema!!!  Hana cheep skendo na ni unique




3. ELIZABETH MICHAEL (LULU)
       Huyu ni msanii wa bongo muvie aliye anza toka akiwa mdogo na kupata mafanikio makubwa kupitia tasnia hiyo ya bongo muvie!  Ni mjasiriamali,  mfanya bishara mwenye mafanikio makubwa sana kupitia tasnia hiyo ya filamu!!!   Moja ya filamu zilizo mpa umaarufu sana kwa sasà nikama vile FOOLISH AGE   na nyinginezo nyingi.  Ana mvuto wa kipekee ambao ni uniq  na classick.




2.  HAMISA MOBETO
       Ni mwana mitindo (model) video queen wanyimbo mbali mbali za bongo flavour!!! Ukimtazma uchoki kumwangalia she is natural sex and beauty!!! 😍 less scandel and strong




1. JOKATE MWEGELO
       Aliwahi kuwa miss  tanzania namba 2,  ni mwanamuziki,  mwana mitindo  na mjasiria mali! Mfanya biashara mwenye mafanikio,  mbunifu na very strong!!!  Despite scandals ameweza kupata mafanikio na heshima kwa jamii!!!  Ana mvuto wa kipekee (natural beauty) anayo itumia kama brand name yake kwa bidhaa zake (KIDOTI)



Hizo ni top 5 za celeb wa kike Tanzania wenye mvuto  wa kipekee!   Uskose the most top 5 celebs wa kike bongo wenye mkwanja mrefuuuu next tyme

MKONO ADVOCATES NA TRA

Kwa hisani ya jamii forum

Mamlaka ya mapato Tanzania, kitengo cha walipa kodi wakubwa wamezuia mali za kampuni ya uwakili ya Mkono kwa kudaiwa kodi yenye thamani ya shilingi za kitanzania Zaidi ya bilioni moja.


TRA imetuma barua kwa kampuni ya minada ya Yono na jeshi la polisi ili kuzuia mali za kampuni ya mkono na kuziuza au kuziweka kwenye mnada ili kufidia kodi na gharama zote za usumbufu kulingana na sharia ya kodi.

TAMKO LA TRA NA VAT YA ASILIMIA 18

BREAKING NEWS

Press Conference imemalizika hapa TRA makao Makuu.

Kwakifupi ni kwamba Serikali imezuia Benki kupandisha viwango vya tozo katika miamala yake na kuelekeza gharama hizo kwa wateja wao.

Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo Kidata amesema kuwa asilimia 18 ya VAT mpya iliyopitishwa kwenye miamala ya benki inahusisha gharama zilizokuwa zikitozwa na benki hizo kwa wateja wao lakini serikali ilikuwa haipati chochote.

Kidata amesema kuwa Benki Kuu imeelekezwa kudhibiti benki hizo kwa kufanya ujanja wa kuongeza makato kwenye miamala ya wateja wao wakati wakijua fika kuwa hilo si lengo la kodi hiyo mpya.

Ameelekeza kuwa kiwango cha kodi kinachotozwa kwenye miamala hiyo kinatakiwa kubaki kama mwanzo lakini serikali itakata kodi yake ya asilimia 18 na kodi nyingine zilizopo kwa mujibu wa sheria

C&P